Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 20.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 20 September 2025 Baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumuita aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutoa maelezo na ushahidi wa tuhuma alizoibua mtandaoni, yeye amesema ipo nia njema na ovu kwenye wito huo. Kwa mujibu wa Polepole, ipo dhamira njema na ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanguka kwa nafasi nne katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) vilivyotangazwa Septemba 18, 2025. Tanzania imedondoka kwa nafasi kutoka ya 103 ambayo ilikuwepo awali hadi nafasi ya 107 kwa viwango vilivyotolewa leo na […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 18 September 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha tukio la mauaji lililotokea jioni ya Septemba 16, 2025 saa 12:50 katika Kitongoji cha Ululu, Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi ambapo Evaristo Zabroni Mwambogolo (28) Mkulima wa eneo hilo alichomwa kisu kifuani na kufariki dunia wakati akipelekwa Zahanati ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 17 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 17.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 17 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano tarehe 17 September 2025 Masista wanne wa Shirika la Wakarmeli Wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, wamefariki Dunia baada ya gari lao kugongana uso kwa uso na lori Mkoani Mwanza. Waliofariki ni pamoja na Mama Mkuu wa Shirika hilo Duniani, Sista Nelina Semeoni (60), raia wa Italia. Kamanda wa Polisi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 16.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne tarehe 16 September 2025 Klabu ya Singida Black Stars imetwaa ubingwa wa Kombe la Kagame 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Nyota wa Singida Black Stars, alikuwa kiungo Mzambia Clatous Chama […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 15.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 15 September 2025 Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Zanzibar Septemba 14, 2025, baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Kigoma. Ujio wake unaashiria kuanza kwa awamu nyingine ya kampeni za kuomba ridhaa ya Wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu ujao. Dkt. […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 14.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili tarehe 14 September 2025 Uongozi wa klabu ya Simba leo umekutana na wachezaji na benchi la Ufundi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumanne kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Ally Mangungu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 13 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 13.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 13 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 13 September 2025 Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewashauri wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema hatua hiyo imekuwa ikisababisha upotoshaji mkubwa unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 12 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 12.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 12 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 12 September 2025 Watu sita wamefariki Dunia papo hapo na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walikokuwa wakisafiria kugonga kwa nyuma gari lililokuwa limeegeshwa barabarani baada ya kuharibika. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Buganjo wilayani Rorya wakati gari aina ya Toyota Succeed likiwa limebeba watu saba likiwa linatoka mjini Tarime […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 11.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi tarehe 11 September 2025 Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na […]

Continue Reading »